The House of Favourite Newspapers

Mwinyi Zahera Amtabiria Magoli Mayele – Video

0

Mkurugenzi wa Maendeleo Soka la Vijana Yanga, Mkongo, Mwinyi Zahera amefunguka baada ya jana Oktoba 31, 2021  Yanga kuifunga Azam.

Bao la Yanga la kipindi cha kwanza limefunga na mshambuliaji Fiston Mayele dakika ya 36, na lile la kipindi cha pili la Jesus Moloko dakika ya 70, yametosha kuipa Yanga pointi tatu muhimu dhidi ya Azam FC katika mchezo wa Ligi Kuu Bara uliochezwa katika Uwanja wa Benjamin Mkapa.

Leave A Reply