×

Mboni Masimba Apagawisha Bf Suma

Mrembo na pia mtangazaji wa kipindi cha Mboni Show, Mboni Masimba, Novemba 5, 2021  aliamsha wageni waalikwa kwenye viti vyao, waliokuwa wamealikwa na kampuni inayohusiana na urembo na afya ya Bf Suma Tanzania wakati wa kuzindia bidhaa yao mpya ya Youth Ever, ambapo uzinduzi huo ulifanyika katika hotel ya Golden Tulip, iliyopo Posta, jijini Dar ambapo Mboni Masimba alielezea umri aliokuwepo nao na muonekano wake ni tofauti.

” Mimi ukiniangalia hapa,huwezi amini kama nina miaka 42,utafikiri nina miaka 16,na bado nataka kurudi usichana kabisa” alisema Mboni na kufanya wote wapige makofi na kunyanyuka kwenye viti.

 

Leave a Comment