Rais Samia Aelekea Nchini Misri Kwa Ziara Ya Siku 3
Global Publishers November 10, 2021 0 Comments
SHARE THIS:
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akiwapungia mkono viongozi mbalimbali waliomsindikiza katika Uwanja wa Ndege wa Dodoma wakati akielekea Cairo nchini Misri kwa ajili ya Ziara ya Kiserikali ya siku tatu.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan leo November 10, 2021 ameondoka nchini kuelekea Cairo Misri kwa ziara ya Kiserikali ya siku tatu, ziara hiyo ya Kiserikali inafuatia mwaliko wa Rais wa Nchi hiyo Abdel Fatah Al Sisi.
Rais Samia akiwa na Makamu wa Rais, Dkt. Philip Isdor Mpango wakati akielekea kupanda Ndege kwenda Cairo, Misri kwa ajili ya Ziara ya Kiserikali ya siku tatu.Rais Samia Suluhu Hassan akizungumza na Makamu wa Rais, Dkt. Philip Isdor Mpango katika uwanja wa Ndege wa Dodoma kabla ya kuondoka nchini kuelekea Cairo, Misri kwa ajili ya Ziara ya Kiserikali ya siku tatu.
PICHA NA IKULU
BATA la BIRTHDAY ya NANDY Kwenye HOTEL ya KIFAHARI ZANZIBAR Usipime….