Rais Samia Apokea Kifimbo Cha Malkia Ikulu, Dar -(Picha +Video)
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan leo Novemba 13, 2021 amepokea Kifimbo cha Malkia Elizabeth wa Uingereza(Queens Button) Ikulu, Jijini Dar Es Salaam.
Kifimbo hiki kinaashiria maandalizi ya michezo ya Olimpiki.