
Katika msimu huu wa mwisho wa mwaka, kampuni mahiri ya usafirishaji wa abiria ya AL KHALEEJ TOURS AND TRAVEL, inatoa ofa kabambe kwa abiria watakaosafiri na kampuni hiyo!
Unachotakiwa kufanya, kata tiketi ya ndege kupitia Al Khaleej Tours kwenda sehemu yoyote duniani, kisha hifadhi namba ya tiketi au PNR Code ili kujiweka katika nafasi ya kushinda moja kati ya zawadi kubwa tatu!
Mshindi wa kwanza atapata ticket ya kwenda Dubai kutoka nchi uliopo na kurudi, malazi ya siku saba katika hoteli za kisasa zilizopo Dubai pamoja na viza bure kabisa
Mshindi wa pili atazawadiwa ticket ya kwenda Dubai na kurudi nchi uliotoka
-Na Mshindi wa tatu, atapewa punguzo la $200 sawa na takribani Tsh 460,000 katika manunuzi ya tiketi yajayo kupitia AL KHALEEJ TOURS AND TRAVEL na washindi watatangazwa kila wiki! Kumbuka ofa hii ni kuanzia Novemba 10 hadi Desemba 10, 2021!
AL KHALEEJ TOURS AND TRAVEL ina matawi yake Tanzania, Uingereza, Canada, Falme za Kiarabu (UAE), Oman, Kenya, Ethiopia na Uganda!
Kwa maelezo zaidi, wapigie kwa nambari ya simu, 0752 555 999, watumie barua pepe kwa anuani ya [email protected] au tembelewa tovuti yao www.alkhaleejtours.com.
View this post on Instagram