Rais Samia Alivyowasili KIA Akielekea Arusha -( Picha + Video)
Global Publishers November 21, 2021 0 Comments
SHARE THIS:
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, akiwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro kwa ziara ya kikazi ya siku tatu leo tarehe 21 Novemba, 2021.Rais Samia, akisalimiana na Viongozi wa Serikali pamoja na Viongozi wa Chama cha Mapinduzi (CCM) wa Mkoa wa Arusha, alipowasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro leo tarehe 21 Novemba, 2021 kwa ziara ya kikazi ya siku tatu.