×

Harmonize Ajibu Bata La Mobeto Na Rick Ross

HARMONIZE au Konde Boy Mjeshi anayekiwasha kunako Bongo Fleva, amejibu bata la mwanamitindo Hamisa Mobeto na Rick Ross.

Baada ya Mobeto na Rick Ross kuwa gumzo wakila bata la hatari Dubai, Harmonize naye ametinga pande hizo na kula bata kubwa zaidi akiwa mpenzi wake mpya, Briana.

Penzi la wawili hao lilichipuka katika uso wa dunia mara baada ya Harmonize kuanza ziara yake nchini Marekani.

Leave a Comment