The House of Favourite Newspapers

Lewandowski Kupewa Tuzo Yake ya Ballon d’OR

0

Baada ya Lionel Messi kuzungumza kuwa mshambuliaji wa Bayern Munich Roberto Lewandowski anastahili kupewa tuzo ya Ballon d’Or ya mwaka 2020 Kauli hiyo imeungwa mkono na waandaaji wa Tuzo hizo.

Taarifa zinadai waandaaji wa Tuzo hizo wanafikiria kumpa tuzo ya mchezaji bora kwa mwaka 2020. Baada ya Hafla ya utoaji tuzo hizo kwa mwaka 2020 kutofanyika kutokana na mlipuko wa Covid 19 .

Leave A Reply