×

Diamond Amwajiri Mwijaku, Asema Anampenda – Video

STAA wa Bongo Fleva, Diamond platinumz amemwajiri rasmi Mwijaku kuwa balozi wa Kampuni ya Wasafi Bet ambayo itakuwa ikijihusisha na michezo ya kubahatisha.

 

Mondi amesema hayo usiku wa leo alipokaribishwa na Diamond kuzungumza wakati wa Uzinduzi wa Wasafi Bet, katika Ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es Salaam.

Mwijaku amejipambanua kuwa Timu Kiba na Timu Harmonize huku akimkosoa vikali Diamond Platinumz kwa mambo anayofanya, alkini leo amejikuta mdomoni mwa Simba na kulamba dili ndani ya Wasafi Bet.

Leave a Comment