×

Mikoa, Halmashauri Vinara wa Mapato Kitaifa

MAMLAKA ya Mapato Tanzania, TRA imetoa ripoti ya robo ya pili ya mwaka 2021, kwa kuziangazia Halmashauri, Mikoa amabyo imeongoza katika zoezi zima la ukusanyaji mapato kitaifa.

 

Katika ripoti hiyo, TRA wameanisha Mikoa hiyo kwa kutaja kiasi cha makuanyo yaliyofikiwa kwa kipindi hicho cha miezi mitatu.

 

Mchanganuo huo ni kama ifuatavyo;

1.Ilala – Tsh.bilioni 148.2 2.Kinondoni -Tsh.bilioni 116 3.Dodoma -Tsh.bilioni 42 4.Arusha -Tsh.bilioni 41 5.Temeke -Tsh. Bilioni 39 6.Kariakoo -Tsh. Bilioni 21 7.Mwanza – Tsh. Bilioni 19.4 8.Morogoro -Tsh. Bilioni 16 9.Kilimanjaro -Tsh. Bilioni 15.3 10.Coast -Tsh. Bilioni 11.

Leave a Comment