×

Harmonize Azindua Albamu ya ‘HIGH SCHOOL’, Dar (Picha +Video)

MWANAMUZIKI Harmonize, Desemba 31, 2021  amezindua albamu ya yake ya ‘HIGH SCHOOL’ katika ukumbi wa Palm Village mikocheni, Dar es Salaam ambayo aliiachia akiwa Marekani Mwezi mmoja uliopita.

Mgeni rasmi kwenye hafla hiyo alikuwa Waziri wa Waziri wa Sanaa, Utamaduni na Michezo, Innocent Bashungwa.

⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: http://ndstream.net/globalradio/ ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx

Waziri wa Waziri wa Sanaa, Utamaduni na Michezo, Innocent Bashungwa (kulia) akiwa katika ukumbi wa Palm Village mikocheni, Dar es Salaam.

 

Leave a Comment