
Msanii wa muziki na mtangazaji aliyekuwa anafanya kazi kwenye kituo cha East Africa TV, Mustapha Matola ‘King Sure’ amefariki dunia Usiku ya kuamkia leo maeneo ya Salasala Tegeta Dar es Salaam.
Kwa sasa mwili wake umehifadhiwa katika Hospitali ya Mwananyamala jijini Dar es Salaam na taratibu nyingine za mazishi yake zinaendelea.
Global Digital tunatoa pole kwa ndugu, jamaa na marafiki wa King Sure, Mungu ailaze roho yake mahala pema peponi.
#EXCLUSIVE: AHMED ALLY AWALIPUA YANGA Kuelekea FAINALI na AZAM FC Kesho – “HATUFIKI kwenye PENALTY”