×

Yanga Yamalizana na Kiungo wa TP Mazembe

Klabu ya Yanga imetangaza kumsajili mshambuliaji, Chicco Ushindi aliyekuwa akiitumikia klabu ya TP Mazembe ya DRC Congo.

Chicco anakuwa mchezaji wa sita kusajiliwa na Yanga katika dirisha dogo la usajili, wachezaji wengini ni kipa Abdallah Mshery kutoka Mtibwa Sugar, kiungo Salum Abubakar ‘ Sure Boy’ kutoka Azam FC, winga Dennis Nkane kutoka Biashara United, Mshambuliaji Crispín Ngushi kutoka Mbeya Kwanza na beki Ibrahim Abdallah Hamad ‘Bacca’ kutoka KMKM

 

 

 

Leave a Comment