×

Top 15 Mastaa Afrika Wenye Fllowers Wengi Zaidi Instagram, Diamond Hayumo

Kulingana na mtandao wa Africa Facts Zone unaotoa takwimu mbalimbali kuhusu muziki, wasanii na watu maarufu kutoka Africa ,umetaja orodha /Top 15 ya waAfrica wenye idadi kubwa ya followers katika mtandao wa Instagram.

Most Followed Africans on Instagram

1. Mohamed Salah 🇪🇬 (47.1 million)
2. Davido 🇳🇬 (22.6 million)
3. Tamer Hosny 🇪🇬 (21.5 million)
4. Mohamed Ramadan 🇪🇬 (19.7 million)
5. Yasmine Sabri 🇪🇬 (17.8 million)

6. Mustafa Hosny 🇪🇬, Candice Swanepoel 🇿🇦 (16.8 million each)

8. Hannah El Zahed 🇪🇬, Ab De Villiers 🇿🇦 (16.6 million each)

10. Ahmed Helmy 🇪🇬 (16 million)
11. Yemi Alade 🇳🇬 (15.8 million)
12. Dorra Zarrouk 🇪🇬 (15.1 million)
13. Funke Akindele 🇳🇬 (14.6 million)
14. Tiwa Savage 🇳🇬 (14.3 million)
15. Amr Diab🇪🇬 (13.9 million)

Usisahau pia mwanamuziki @diamondplatnumz 🇹🇿 nae ana jumla ya followers (Million 13.9) katika mtandao wa Instagram.

Leave a Comment