×

Zuchu Amkatia Diamond Mauno Stejini, Amvua Koti -Video

SUPASTAA wa Tanzania, Diamond Platnumz na msanii wake wa WCB, Zuchu  wamefanya yao usiku wa kuamkia leo Februari 15, 2022 usiku wa Mahaba Ndi Ndi Ndi kwenye siku ya wapendanao katika ukumbi wa Mlimani City, Dar es Salaam.

Leave a Comment