Zuchu Amkatia Diamond Mauno Stejini, Amvua Koti -Video
Global Publishers February 15, 2022 4,736 views 0 Comments
SHARE THIS:
SUPASTAA wa Tanzania, Diamond Platnumz na msanii wake wa WCB, Zuchu wamefanya yao usiku wa kuamkia leo Februari 15, 2022 usiku wa Mahaba Ndi Ndi Ndi kwenye siku ya wapendanao katika ukumbi wa Mlimani City, Dar es Salaam.