×

Jeshi la Polisi Lakamata Watu 12, Wizi Kwa Njia Ya Mtandao – Video

Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, limewakamata watu 12 wanaofanya wizi kwa njia ya mtandao pamoja na raia watatu wa DR Congo wanaotuhumiwa kufanya wizi kwa kutumia madawa ya kulevya.

Leave a Comment