Wakali Dancers wafunika Krismasi Dar Live Global Publishers December 26, 2015 0 Comments SHARE THIS: Kundi linalobamba Afrika Mashariki kwa miondoko ya kucheza, Wakali Dancers wakikamua jukwaani Sikukuu ya Krismasi ndani ya Uwanja wa Taifa wa Burudani, Dar Live uliopo Mbagala- Zakhem jijini Dar . (PICHA: MUSA MATEJA NA RICHARD BUKOS/GPL) SHARE THIS: