Global Publishers December 26, 2015 4,594 views 0 Comments
SHARE THIS:
Kundi linalobamba Afrika Mashariki kwa miondoko ya kucheza, Wakali Dancers wakikamua jukwaani Sikukuu ya Krismasi ndani ya Uwanja wa Taifa wa Burudani, Dar Live uliopo Mbagala- Zakhem jijini Dar .