RAIS wa Ukraine, Volodymyr Zelensky amekataa ofa ya Marekani ya kumsaidia kuondoka Ukraine ili kuokoa maisha yake wakati majeshi ya Urusi yakiwa yameuzingira mji huo ambapo amenukuliwa akisema; “Unapotushambulia, utaona nyuso zetu, siyo migongo yetu”.