
Supastaa wa Bongo Movies, Irene Uwoya ameonesha zawadi ya gari lake jipya aina ya Range Rover alilopewa.
Hata hivyo, Uwoya hajaweka wazi amepewa na nani.
Ameandika kwenye kurasa zake za kijamii; “’God I can’t thank you enough…you did it again @loydemich @mmorankiss52 nitawakomesha kwa mlichonifanya…”
Uwoya amekuwa akipasua vichwa vya mashabiki wake kutokana na utajiri alionao huku watu wakijiuliza ni nani hasa anampa jeuri?
CC; @sifaelpaul