
Muna Love; ni mwigizaji wa Bongo Movies japo kwa muda mrefu hajaonekana lokesheni ambaye hivi karibuni alizua kizaazaa baada ya kujuta kufanya sajari zipatazo 11 za kurekebisha maumbile yake na kujikuta kwenye hali mbaya.
Sasa; Muna anayejinasibu kuwa ni mlokole na mtumishi wa Mungu ameonesha nia ya kutaka kubadili dini na kuwa Muislam.
Muna ameomba ushauri; “Hivi nikiamua kubadili dini kuwa Muislam. Waislam watanipokea au nao wanaweza kunichamba kama hawa walokole? Nikafa…”
CC; @sifaelpaul