×

Jinsi Waukraine Wanavyolinda Nchi Yao – Picha

Wanajeshi wa Ukraine wakipiga doria katika siku ya tano ya uvamizi wa Urusi. Meya wa mji Vitaly Klitschko, alitangaza tahadhari ya kutotoka nje usiku tarehe 26 Februari.
Vikosi vya Ukraine vikipiga doria kwenye mitaa katika medani ya Maidan.
Mbunge wa Ukraine, Sviatoslav Yurash mwenye umri wa miaka 26 akiwa na silaha kulinda mji mkuu Kyiv.

Vimiminika vinavyoweza kuwaka moto kama vile petroli na vilevi vinamwagwa ndani ya glasi na kuongezwa mafuta ya injini. Mchanganyiko huu unaitwa Molotov cocktail.

Kipande cha nguo huwekwa ndani yake ili kuning’iniza chupa. Nguo huyeyuka ndani ya kimiminika. Mchanganyiko huu wa Molotov hufanya kazi ya kilipuzi katika kipindi cha dakika moja.

Ni rahisi kutengenezwa na kutumiwa na wahalifu, waandamanaji, magaidi n ahata jeshi wanapopungukiwa na silaha.

RUBANI MDOGO MTANZANIA ANAYERUSHA NDEGE AFUNGUKA CHANGAMOTO ALIZOKUTANA NAZO AFRIKA KUSINI

Leave a Comment