×

Mwana Fa anogesha hafla ya miaka 250 ya Hennessy‏

Mwana FA akiimba.Dj aliyekuwepo kwenye hafla hiyo akifanya yake.
Madam Ritha Paulsen akiwa na Mwana FA pamoja na Mmiliki wa Oasis Baa, Nuru mosha
Akiendelea kuimba huku akiwa na chupa yake ya Hennessy
Mheshimiwa Zitto pia alikuwapo
Chupa ya Hennessy 250 Collectors blend iliyotengenezwa maalum kusherekea miaka 250 ya kinywaji hicho.
Kwa ndani kulikuwa na eneo lilikowekwa picha mbalimbali kuhusiana na historia ya kinywaji hicho
Wageni waliojumuika pamoja siku hiyo.

Leave a Comment