RAIS Samia Suluhu Hassan amekutana na kuzungumza na kikosi kazi cha kuratibu maoni ya wadau wa demokrasia ya vyama vingi vya siasa kinachoongozwa na mwenyekiti wake, Profesa Rwakaza Mukandala, Ikulu Chamwino mkoani Dodoma.