×

Mapokezi ya Makamu Mwenyekiti wa CCM Tanzania Bara jijini Dar leo (Picha +Video)

Makamu Mwenyekiti Bara,  Komredi Abdulrahman Kinana akifurahia jambo na Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Daniel Chongolo mara baada ya kuwasili katika ukumbi wa Diamond Jubilee ikiwa ni sehemu ya mapokezi yake makubwa kutoka kwa Wanachana na Wafuasi wa CCM tangu kuteuliwa kwake kuwa Makamu Mwenyekiti Bara ndani ya chama hicho, jijini Dar leo.
Wanachama Chama Cha Mapinduzi (CCM) wakimpokea Makamu Mwenyekiti Bara,  Komredi Abdulrahman Kinana na Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Daniel Chongolo (hawapo pichani).
Makamu Mwenyekiti Bara Komredi Abdulrahman Kinana akiwasili katika ukumbi wa Diamond Jubilee ikiwa ni sehemu ya mapokezi yake makubwa kutoka kwa Wanachana na Wafuasi wa CCM tangu kuteuliwa kwake ndani ya chama hicho,  jijini Dar leo.


MAKAMU Mwenyekiti mpya wa CCM, Abdulrahman Kinana, amepokelewa kwa shangwe leo Aprili 10, katika ukumbi wa Diamond Jubilee, ikiwa ni mara ya kwanza tangu achaguliwe kushika nafasi hiyo.

⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: http://ndstream.net/globalradio/ ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx

Leave a Comment