Baada ya Mbunge wa Kisesa, Luhaga Mpina kuzua mijadala kufuatia kauli yake juu ya Waziri wa Nishati na Madibni, Mhe. January Makamba na utekelezaji wa bwawa la Mwalimu Nyerere, Global TV imefanya mahojiano maalumu na Mbunge Musukuma ambaye ni Mjumbe wa Kamati ya Nishati na Madini.
⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: http://ndstream.net/globalradio/ ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx