Mwanafunzi wa Chuo kikuu cha Mtakatifu Augustino Arusha, Israeli Malya, katika hali isiyokuwa ya kawaida inaelezwa kuwa alipotea katika mto Mwochoo uliopo wilayani Arumeru mkoani Arusha na mwili wake kupatikana baada ya siku mbili.
⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: http://ndstream.net/globalradio/ ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx