
Msemaji wa Klabu ya Yanga, Haji Manara akiwa anaoa mke wa pili Aprili 14, 2022.
Kupitia Ukurasa wake wa Instagram Haji Manara ameshare picha chache za yeye pamoja na mke wake katika shughuli ambayo ameifanya
Mwaka 2020 alifunga ndoa na Mke wake wa Kwanza aitwae Naheeda na Huyu anakua Mke wa Pili kwenye maisha yake ya Ndoa
Global Digital inakupongeza Haji Mnara kwa hatua hii kubwa kwenye maisha yako! Mungu awatangulie na ikawe heri daima
Kupitia mtandao wa Insta mastaa wa Bongo wameposti picha hizo na kumpongeza Haji Manara.

