×

Lyyn Afunguka Penzi Lake Na Diamond – Video

MSANII wa muziki wa Bongo Fleva Irene Louis ‘Lyyn’ ambaye kwa sasa anatamba na kibao chake cha ‘maneno’, amefunguka siri ya mahusiano yake na Staa wa bongo fleva Diamond Platnumz yalivyokuwa.

Leave a Comment