The House of Favourite Newspapers

Klabu ya Simba Yaanza Safari Kwenda Afrika Kusini, Pambano Kupigwa Jumapili

0
Wachezaji wa Simba wakiwa wanapanda ndege tayari kwa ajili ya kuanza safari ya kuelekea nchini Afrika Kusini

KLABU ya Soka ya Simba imeanza safari Alfajiri ya leo ijumaa 22, 2022 kuelekea nchini Afrika Kusini ambako itakwenda kucheza mechi yake ya marudiano dhidi ya Klabu ya Orlando Pirates ya nchini humo.

Golikipa wa klabu ya Simba Aishi Manula naye ni sehemu ya wachezaji walioelekea nchini Afrika Kusini kwa ajili ya mchezo wa marudiano dhidi ya Orlando Pirates

Simba inakwenda Afrika Kuisni ikiwa na faida ya ushindi wa bao moja ilioupata katika mchezo wa kwanza uliofanyika jijini Dar es Salaam katika Uwanja wa Benjamin Mkapa Aprili 17 mwaka huu

Leave A Reply