×

Mwili wa Mbunge Irene Ndyamkama Ulivyoagwa na Wabunge Bungeni Leo -Video

Spika wa Bunge, Dkt. Tulia Ackson akisaini kitabu cha maombolezo cha aliyekuwa Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Rukwa, Mhe. Irene Alex Ndyamkama leo Aprili 27, 2022 katika viwanja vya Bunge Jijini Dodoma.
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akitia saini kitabu cha kumbukumbu ya maombolezo cha aliyekuwa Mbunge wa Viti maalum Mkoa wa Rukwa, Mh. Irene Alex Ndyamukama, Katika Viwanja vya Bunge jijini Dodoma, leo tarehe 27 Aprili 2022.
Waheshimiwa Wabunge wakisaini kitabu cha maombolezo cha aliyekuwa Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Rukwa, Mhe. Irene Alex Ndyamkama leo Aprili 27, 2022 katika viwanja vya Bunge Jijini Dodoma.
Waziri mkuu Kassim Majaliwa na Spika wa Bunge, Dkt. Tulia Ackson wamewaongoza waombolezaji kupokea mwili wa aliyekuwa Mbunge wa Viti maalum Mkoa wa Rukwa, Mh. Irene Alex Ndwamkama, Katika Uwanja wa Ndege wa Dodoma, leo tarehe 27 Aprili 2022


MWILI wa aliyekuwa Mbunge wa wa Viti Maalum Mkoa wa Rukwa kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Irene Ndiyamkama, uliwasili Bungeni jijini Dodoma kwa ajili ya kuagwa na bunge.

⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: http://ndstream.net/globalradio/ ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx

Leave a Comment