
Rais wa Tanzania Samia amemteua Hassan Omani Kitenge kuwa katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika utumishi wa umma Kabla ya uteuzi Kitenge alikuwa mkurugenzi wa mikataba ya utendaji kazi serikalini, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya utumishi wa umma na utawala bora.
