
Mbunge wa Buchosa na Mkurugenzi wa Global Group, Eric Shigongo anatarajiwa kufanya mkutano na waandishi wa habari kesho Jumamosi, Februari 22, 2025.
Mkutano huo utafanyikia Makao Mkuu ya Global Publishers, Sinza Mori jijini Dar es Salaam kuanzia saa 5:00 asubuhi.