Klabu ya Geita Gold imesema itautumia Uwanja wa CCM Kirumba uliopi mjini Mwanza katika mechi yao dhidi ya Simba Jumapili Mei 22 saa 10:00 jioni badala ya Nyankumbu uliopo Geita.