×

Chama Cha Mapinduzi Chaunga Mkono Maridhiano ya Kisiasa Nchini, Watoa Tamko – Video

Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi Taifa imekutana katika kikao chake maalumu Mei 22, 2022 chini ya Mwenyekiti wa CCM Taifa ambaye pia ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Rais Samia.

.

Leave a Comment