


Usiku wa kuamkia leo Mei 29, 2022 staa wa Bongo Fleva, Naseeb Abdul “Diamond Platnumz” amefanya shoo yake katika jiji la Mwanza ikiwa ni sehemu yake ya muendelezo uzinduzi wa Foa World Tour.
Mastaa kibao wamehudhuria kwenye shoo hiyo. Wakati Diamond akiendelea na show hiyo, Msemaji wa Yanga Haji Manara amevamia show na kuanza kumtunza pesa Diamond huku wakicheza pamoja…
⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: http://ndstream.net/globalradio/