×

Nafasi za Kazi 38 MDAs & LGAs, Msaidizi wa Hesabu II (Accounts assistant II)

POST MSAIDIZI WA HESABU II (ACCOUNTS ASSISTANT II) – 38 POST
EMPLOYER MDAs & LGAs
APPLICATION TIMELINE: 2022-05-28 2022-06-07
JOB SUMMARY N/A
DUTIES AND RESPONSIBILITIES i.Kuandika na kutunza “register” zinazohusu shughuli za uhasibu;

ii.Kutunza kumbukumbu za hesabu;

iii.Kupeleka barua/nyaraka za uhasibu Benki; na

iv.Kufanya kazi nyingine za fani yake atakazopangiwa na Mkuu wake wa kazi.

 

QUALIFICATION AND EXPERIENCE
  • Kuajiriwa wenye Cheti cha Astashahada ya Uhasibu kutoka Chuo kinachotambulika na Serikali au Cheti cha ATEC I kinachotolewa na NBAA au sifa nyingine zinazolingana na hizo zinazotambulika na NBAA.

 

REMUNERATION TGS. B

BONYEZA HAPA KUTUMA MAOMBI

Leave a Comment