
| POST | FANI YA UKAGUZI WA MIFUMO YA TAARIFA (INFORMATION SYSTEM AUDITOR II) – 7 POST |
| EMPLOYER | National Audit Office (NAOT) |
| APPLICATION TIMELINE: | 2022-05-27 2022-06-09 |
| JOB SUMMARY | ok |
| DUTIES AND RESPONSIBILITIES |
i.Kushiriki katika kuainisha maeneo ya mifumo ya habari yanayoweza kufanyiwa ukaguzi na kutunza taarifa zake; ii.Kushiriki katika kuandaa mpango kazi wa ukaguzi wa mifumo ya habari unaolenga maeneo hatarishi kwa kuzingatia vipaumbele vya timu ya ukaguzi wa mifumo ya habari; iii.Kukusanya na kutunza taarifa muhimu kwa ajili ya kufanya ukaguzi wa mifumo ya habari; iv.Kufanya ukaguzi kwa vitendo katika maeneo yaliyolengwa; v.Kushiriki katika kuchanganua taarifa na kuandaa rasimu ya taarifa ya ukaguzi wa mifumo ya habari; vi.Kushiriki katika kuhakikisha kuna ufanisi kwenye vidhibiti usalama vya mifumo ya habari; na vii.Kufanya kazi nyingine atakazopangiwa na msimamizi wake wa kazi zinazoendana na sifa na fani yake. |
| QUALIFICATION AND EXPERIENCE | uajiriwa wenye Shahada ya Kwanza au Stashahada ya Juu katika mojawapo ya fani zifuatazo: Sayansi ya Kompyuta, Uhandisi wa Kompyuta, Teknolojia ya Habari au Mifumo ya Habari.
|
| REMUNERATION | TGS E |