
| POST | FANI YA UTENGENEZAJI WA PROGRAMU ZA TEHAMA II(PROGRAMMING) – 2 POST |
| EMPLOYER | National Audit Office (NAOT) |
| APPLICATION TIMELINE: | 2022-05-27 2022-06-09 |
| JOB SUMMARY | OK |
| DUTIES AND RESPONSIBILITIES |
i.Kuandaa, kuandika na kufanya majaribio ya programu (Plan, code and test program); ii.Kusahihisha programu (Debug program); iii.Kuweka na kuhakikisha usalama wa programu (Incorporate security setting into program); iv.Kushirikiana na wadau wengine katika kutengeneza programu mbalimbali (Cooperate with other software developers); na v.Kufanya kazi nyingine atakazopangiwa na msimamizi wake wa kazi zinazoendana na sifa na fani yake. |
| QUALIFICATION AND EXPERIENCE | Kuajiriwa wenye Stashahada ya Juu au Shahada ya kwanza ya Kompyuta katika moja ya fani zifuatazo; Sayansi ya Kompyuta, Teknolojia ya Habari, Teknolojia ya Habari na Mawasiliano na Menejimenti ya Mifumo ya Habari. |
| REMUNERATION | TGS E |
BONYEZA HAPA KUTUMA MAOMBI