×

Nafasi za Kazi 2 NAOT, Fani ya Utengenezaji wa Programu za TEHAMA (PROGRAMMING)

POST FANI YA UTENGENEZAJI WA PROGRAMU ZA TEHAMA II(PROGRAMMING) – 2 POST
EMPLOYER National Audit Office (NAOT)
APPLICATION TIMELINE: 2022-05-27 2022-06-09
JOB SUMMARY OK
DUTIES AND RESPONSIBILITIES  

i.Kuandaa,  kuandika  na  kufanya  majaribio ya programu (Plan, code and test program);

ii.Kusahihisha programu (Debug program);

iii.Kuweka na kuhakikisha usalama wa programu (Incorporate security setting into program);

iv.Kushirikiana na wadau wengine katika kutengeneza programu mbalimbali (Cooperate with other software developers); na

v.Kufanya kazi nyingine atakazopangiwa na msimamizi wake wa kazi zinazoendana na sifa na fani yake.

QUALIFICATION AND EXPERIENCE Kuajiriwa  wenye Stashahada ya Juu au Shahada ya kwanza ya Kompyuta katika moja ya fani zifuatazo; Sayansi ya Kompyuta, Teknolojia ya Habari, Teknolojia ya Habari na Mawasiliano na  Menejimenti ya Mifumo ya Habari.
REMUNERATION TGS E

BONYEZA HAPA KUTUMA MAOMBI

 

Leave a Comment