The House of Favourite Newspapers

Hoyce Temu ajumuika na waathirika wa ukoma Dar

0

1
2Hoyce Temu  akiongozana na kamati nzima ya Miss Tanzania kuelekea kwenye ukumbi wa Nungwi ambapo kuna  kambi ya wagonjwa wa ukoma.45…Akizungumza na baadhi ya wazee ambao ni kati ya  waathirika  wa ukoma.6…Akiwa na mzee mmoja anayeishi kituoni hapo.7
9 …Akichanganya dawa na Tausi Mwenda, mke wa aliyekuwa Meya wa Kinondoni, Yusuph Mwenda, kwa ajili ya kuulia wadudu.1011 …Akipulizia dawa  kwenye vyumba vya waathirika hao.12Tausi Mwenda (mwenye shati nyeupe) akiwa ameshika maji kwa ajili ya waathirika hao.13Hoyce akila na watoto wa kituo hicho.14…Akisaidiana katika shughuli mbalimbali na Tausi Mwenda.15Watoto wa kituoni hapo wakiwa tayari kwa chakula.

MISS Tanzania 1999, Hoyce Temu,  jana alijumuika na waathirika wa ugonjwa wa ukoma kwenye kambi yao iliyopo Nungwi, Kigamboni,  Wilaya ya Temeke jijini Dar  es Salaam, ambapo alikunywa na kula nao kwa ajili ya kuadhimisha mwaka mpya wa 2016.

Mrembo huyo ambaye aliongozana na kamati nzima ya Miss Tanzania ambapo walifanya usafi katika nyumba za waathirika hao kwa kupuliza dawa za wadudu kama mende, kunguni (Viuatilifu) na kadhalika na baadaye kukaa nao kwa siku nzima.

NA IMELDA MTEMA/GPL

Leave A Reply