×

Nafasi za Kazi 6 Parliament of Tanzania, Katibu Msaidizi wa Bunge

POST KATIBU MSAIDIZI WA BUNGE DARAJA LA II – 6 POST
EMPLOYER Parliament of Tanzania
APPLICATION TIMELINE: 2022-06-11 2022-06-24
JOB SUMMARY NIL
DUTIES AND RESPONSIBILITIES  

i.        Kuandaa na kuratibu vikao vya shughuli za Kamati na Mikutano ya Bunge;

ii.        Kuandaa mihtasari ya vikao vya Kamati na Mikutano ya Bunge;

iii.        Kuhakikisha wadau wanaohusika na shughuli za Kamati na Bunge wanapata ratiba kwa wakati;

<span lang=”EN-GB” style=”font-size: 12.0pt; line-height: 150%; font-family: ‘Arial’,’sans-serif’; mso-fareast-font-family: Arial; mso-fareas

QUALIFICATION AND EXPERIENCE  

Mwombaji awe na Shahada kutoka Chuo Kikuu au Taasisi ya Elimu ya Juu inayotambuliwa na Serikali katika mojawapo ya fani zifuatazo:- Uchumi, Sheria, Uhasibu, Utawala (Local Government Administration), au Fani za Afya (Health Service Management).

REMUNERATION PSS D

BONYEZA HAPA KUTUMA MAOMBI

Leave a Comment