×

Alikiba, Samata na Manara Wazungumza na Waandishi Wanabari – Video

KUELEKEA mechi ya Samakiba itakayochezwa Juni 18, katika dimba la Mkapa jijini Dar, Mwanamuziki Alikiba, msakata kabumbu Mbwana Samatta na Haji Manara, wamezungumza na wanahabari na kuelezea maandalizi ya mechi hiyo.. ⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: http://ndstream.net/globalradio/

⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx

Leave a Comment