Balozi wa Marekani Nchini Atembelea Ofisi ya Waziri Mkuu
Global Publishers June 16, 2022 0 Comments
SHARE THIS:
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akisalimiana na Balozi wa Marekani nchini, Donald J. Wright alipokutana naye, katika ofisi ndogo ya Waziri Mkuu, Magogoni jijini Dar es Salaam Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza na Balozi wa Marekani nchini, Donald J. Wright, wakati alipokutana naye, katika ofisi ndogo ya Waziri Mkuu, Magogoni jijini Dar es Salaam Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza na ujumbe wa Ubalozi Marekani ulioongozwa na Balozi wa nchi hiyo nchini, Donald J. Wright ofisi ndogo ya Waziri Mkuu, Magogoni jijini Dar es Salaam Juni 16, 2022 (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)