Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akishiriki katika uzinduzi wa MWANAMKE INITIATIVES FOUNDATION (MIF) leo tarehe 19 Juni, 2022 katika Ukumbi wa Golden Tulip, Zanzibar
Rais Samia ametoa wito kwa Wazara ya Elimu na Mafunzo kufanya mabadiliko katika mitaala ya elimu (syllabus).
