×

Video: Waziri Mwigulu Atoa Ufafanuzi wa Tozo za Miamala ya Simu na Benki

Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba amesema Tozo hii si kodi ya Biashara wala si kodi inayotokana na faida ya Biashara bali chimbuko lake ni ushirikiano wa pamoja wa kuunganisha nguvu ili tuweze kupata Rasilimali

Amesema “Tunatambua kuwa Tozo ni maumivu ya hapa na pale, tunatambua kuwa inavuruga ‘purchasing power’ ya Mtu mmoja mmoja lakini tuna majukumu ambayo kama Nchi na sisi wote kama Wazazi tunawajibika kuyabeba”

Ameongeza “Tulipoanzisha tozo, Tsh. Bilioni 221 zilikwenda kwenye Mikopo ya Elimu ya Juu, pima Maisha ya watoto wangapi bila Tozo ndoto zao zingekuwa zimeisha?”

Aidha, Tsh. Bilioni 117 zilikwenda kwenye Vituo vya Afya

⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: http://ndstream.net/globalradio/ ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx

Leave a Comment