Rais Samia Azungumza na Watanzania Wanaoishi Nchini Qatar Doha – Picha
Global Publishers October 5, 2022 0 Comments
SHARE THIS:
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akizungumza na Watanzania wanaoishi Nchini Qatar (Diaspora) katika ukumbi wa Mandarin Oriental Doha tarehe 04 Oktoba, 2022Watanzania wanaoishi Nchini Qatar (Diaspora) wakiendelea kumsikiliza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan Oktoba, 2022 amezungumza na Watanzania wanaoishi Nchini Qatar (Diaspora) katika ukumbi wa Mandarin Oriental Doha.
Rais Samia akiwa kwenye mazungumzo na Muanzilishi na Mwenyekiti wa Wakfu wa Qatar (Qatar Foundation ) Sheikha Moza binti Nasser, Doha nchini Qatar tarehe 04 Oktoba, 2022.