×

Rais Samia Akutana na Rais wa Jamhuri ya Watu wa China Xi Jinping – Picha

Rais Samia akisalimiana na Mwenyeji wake Rais wa Jamhuri ya Watu wa China, Xi Jinping mara baada ya kuwasili katika ukumbi wa The People Great Hall, Beijing nchini China tarehe 03, Novemba, 2022.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassana leo Novemba 3, 2022 amekutana na Mwenyeji wake Rais wa Jamhuri ya Watu wa China, Xi Jinping mara baada ya kuwasili katika ukumbi wa The People Great Hall, Beijing nchini China.

Rais Samia akiwa kwenye picha ya pamoja na Mwenyeji wake Rais wa Jamhuri ya Watu wa China, Xi Jinping.
Rais Samia akiwasili katika ukumbi wa The People Great Hall pamoja na Mwenyeji wake Rais wa Jamhuri ya Watu wa China, Xi Jinping.
Rais Samia akiwa katika picha ya pamoja na Waziri Mkuu (Premier) wa Jamhuri ya Watu wa China Li Keqiang mara baada ya kuwasili The People Great Hall, Beijing chini China tarehe 03 Novemba, 2022.
Rais Samia akiwa pamoja na ujumbe aliombatana nao kwenye mazungumzo na Waziri Mkuu (Premier) wa Jamhuri ya Watu wa China Li Kegiang mara baada ya kuwasili The People Great Hall, Beijing nchini China tarehe 03 Novemba, 2022.

UJUMBE MZITO wa MBUNGE SHIGONGO KWA RAIS SAMIA, ATOA TAKWIMU MBELE ya WANAHABARI..

Leave a Comment