Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan leo Novemba 27, 2022 amefungua Mkutano Mkuu wa Kumi wa Chama cha Taaluma ya Menejimenti ya Kumbukumbu na Nyaraka Tanzania ( TRAMPA) katika Ukumbi wa AICC, ARUSHA.